KARIBU NG'S_CLINIC

AFYA YA UZAZI KWA MWANAUME


 




*CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

🌹Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo
Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

🌹Uzito kupita kiasi na unene uliozidi
Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

🌹Kisukari

🌹Kuwa na mawazo na wasiwasi

🌹Matumizi ya madawa mbalimbali

🌹Umri hasa wazee
Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

🌹Kuwa na tatizo la kibofu

🌹Tabia za kujichua kwa mda mrefu

🌹Kutopata usingizi kamili

🌹Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

*DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;

🌹Kuwahi kufika kileleni
Kukosa hamu ya mapenzi

🌹Kushindwa kurudia tendo la ndoa

🌹Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

🌹Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

🌹Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

🌹Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

*JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME*

🌹Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

🌹Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

🌹Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine

🌹Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

🌹Balansi uzito wako

🌹Usivute sigara

🌹Punguza au acha kunywa pombe

🌹Punguza mawazo

🌹Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

🌹Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

🌹Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi

🌹Kunywa maji ya kutosha

Kwa mawasilianao zaidi
+255758077020
          Au
+255622198368

Post a Comment

0 Comments