KARIBU NG'S_CLINIC

πŸ’ŠπŒπ•π”π‘π”π†πˆπŠπŽ 𝐖𝐀 π‡πŽπŒπŽππˆ (π‡πŽπ‘πŒπŽππ„ πˆπŒππ€π‹π€ππ‚π„) πŸ©ΊπŸ’Š


 πŸ’ŠπŒπ•π”π‘π”π†πˆπŠπŽ 𝐖𝐀 π‡πŽπŒπŽππˆ (π‡πŽπ‘πŒπŽππ„ πˆπŒππ€π‹π€ππ‚π„) πŸ©ΊπŸ’Š

πŸ”˜Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%

π•π˜π€ππ™πŽ π•π˜π€ πŒπ•π”π‘π”π†πˆπŠπŽ 𝐖𝐀 π‡πŽπŒπŽππˆ
⏺️Uwepo wa sumu mwilini
⏺️Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).
⏺️Umri ukienda sana Kukoma kwa hedhi
⏺️Uzito mkubwa.
⏺️Mabadiliko ya mazingira
⏺️Msongo wa mawazo
⏺️Upungufu wa lishe mwilini.
⏺️Matumizi ya  njia za kisasa za uzazi wa mpango.
⏺️Utoaji wa mimba
⏺️Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)

πƒπ€π‹πˆπ‹πˆ 𝐙𝐀 πŒπ•π”π‘π”π†πˆπŠπŽ 𝐖𝐀 π‡πŽπŒπŽππˆ
▶️Uke kuwa mkavu
▶️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
▶️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
▶️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
▶️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
▶️Uchovu wa mara kwa mara.
▶️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara.
▶️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula.
▶️Ongezeko la tumbo na nyama uzembe.
▶️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k).
▶️Kupata hedhi wakati wa ujauzito
▶️Mwili kutokukua, kuonekana kama binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi.
▶️Maumivu ya kichwa mara kwa mara.

πŒπ€πƒπ‡π€π‘π€ π˜π€ πŒπ•π”π‘π”π†πˆπŠπŽ 𝐖𝐀 π‡πŽπŒO𝐍𝐈
➡️Kupatwa na maambukizi ukeni mara kwa mara
➡️Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
➡️Mimba kuharibika mara kwa mara
➡️Kukosa mtoto au Ugumba.
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
➡️Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
➡️UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara.
➡️Kuziba kwa mirija ya uzazi.
➡️kupatwa na saratani ya kizazi
➡️Uvimbe kwenye kizazi  mwanamke (Fibroids and ovariancysts).

π’π”π‹π”π‡πˆπ’π‡πŽ/πŒπ€π“πˆππ€πU

➡️Wanawake wengi baada ya kujifahamu kuwa homoni zao haziko sawa huenda 
mahospitalini ambako hupewa madawa (bioidentical or synthetic hormones) na 
wengine hufanyiwa hormone replacement therapy.
➡️Tiba hii huandaliwa kwa ajili ya kuzifanya homoni zifanye kazi zake kama kawaida. 
Lakini hupelekea madhara kama: Kuongeza uwezekano wa shinikizo la damu,Madhara katika mfumo wa uzazi,Saratani na mengineyo.
➡️Mvurugiko wa homoni unasababishwa na upungufu wa lishe, msongo wa mawazo, na uwepo wa sumu mwilini. Sumu zikizidi mwilini mwanamke huzeeka kabla ya wakati na kupatwa na changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo; vimbe zinazo jipachika kwenye uzazi wa mwanamke, vidonda vya tumbo, n.k.

πŸ”˜Namna nzuri yakutibu tatizo la homoni ni kutumia virutubisho lishe ,,πŠπ€π‘πˆππ” ππˆπŠπ”π’πˆπƒπˆπ„ ππˆπ†π€ & 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏  πŠπ€π‘πˆππ” 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄.

Call πŸ“ž πŸ“²

+255758077020
          Au
+255622198368

Dr Daniel.....✍🏽

Post a Comment

0 Comments