*JIBU NI NDIO*⭕Moja ya maambukizi ya kawaida ambayo hushambulia binadamu ni maambukizi yasababishwayo na bakteria na ambayo hutishia zaidi ni maambukizi ya zinaa,
👉🏾Na sio maambukizi yote ya zinaa husababishwa na bacteria, mengine husababishwa na virusi kama HIV,
⭕Kwa maambukizi ya bacteria sio yote yataonyesha dalili za maambukizi yalioko, mengine hayaonyeshi dalili zozote hadi ufanye uchunguzi wa vipimo na kitabibu 👉🏾Matokeo yake maambukizi haya ambayo hayakuonyesha dalili zozote, huachwa bila matibabu na huanza kuathiri mirija, mayai hata mfuko wa kizazi,
⭕Uharibifu mkubwa zaidi hutokea kama 👉🏾 *SALPINGITIS* kuharibika kwa mirija kutokana na maambukizi hayo ya bacteria ya mda mrefu bila tiba 👉🏾 *HYDROSALPINX* mirija kuja maji 👉🏾 Pia vivimbe mf ENDOMETRIOSIS nje na ndani ya mfuko wa uzazu 👉🏾Maambukizi mengineyo ambayo hujitemgeneza ni kama *PID*, *HPV* (Masundosundo) n. K
👉🏾Kupata operesheni sio suluhisho pekee, wengi waliopiga operesheni mf kuondoa uvimbe bado wanahangaika kupata ujauzito,
👉🏾 *Tumia tibalishe zetu ambazo zitaondoa tatizo bila uhitaji wa operesheni sambamba na kuongeza nafasi yako ya kushika ujauzito tena(ILA HAKIKISHA UMEWAHI KUANZA TIBA ZETU USISUBIRI TATIZO LIKAWA KUBWA)*
⚠️ *KUA MAKINI NA MTU UNAECHAGUA KUSHIRIKI NAE MAPENZI, KWANI AMBUKIZI MOJA LINAWEZA KUKUATHIRI MAISHA YAKO YOTE*
Post a Comment
0
Comments
JE UNA SUMBULIWA NA MAGONJWA YA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI (PID), UTI SUGU, FANGASI, MATATIZO YA HEDHI, MVURUGIKO WA HOMONI(HORMONAL IMBALANCE), KUTOSHIKA MIMBA N.K...
Karibu tuku saidie wasialiana nasi kwa njia ya
Whatsapp/call:
+255758077020
Au
+255622198368
Karibu sana....
*N.G's_clinic care comes with us*🧑🏽⚕️🩺
0 Comments