KARIBU NG'S_CLINIC

LIJUE TATIZO LA MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONAL IMBALANCE)


 *LIJUE TATIZO LA HOMONI IMBALANCE*

Tatizo LA hormone imbalance limekua kubwa sasa ,na limeleta madhara makubwa kama tajwa apa chini

Zipo zitu vinavyo sababisha kivurugika kwa hormone kama

1.Magonjwa Uti/Pid/Fangasi na nk
2.Matumizi ya Madawa kiholela
3.Ulaji mbovu
4.Uzazi wa Mpango
5.Madhingira na nk

Hizi ni baadhi ya Dalili za hormone imbalance hasa kwa wanawake

1.ukavu uken

2.Maumivu wakat wa tendo

3.Maumivu chini ya kitovu

4.Mabadiliko ya siku za hedhi

5.kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku saba au kujaza pedi moja kwa saa moja.

6.Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi

7.Kutokupata hedhi (balehe) adi umri wa miaka 20 na kuendelea

8.Kusahau sana (kukosa kumbukumbu)

Usipuuuze sio lazima uwe na dalili zote wai mapema kuepuka madhara makubwa na gharama ya matibabu

MADHARA YA HORMONE IMBALANCE

1.•Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu

2•Mimba kuharibika mara kwa mara;

3•Kukosa mtoto au Ugumba

4•Maumivu wakati wa tendo la ndoa

5•Kuwa na tabia na maumbile ya kiume

6•UTI na PID za mara kwa mara au rudizi

7•Kuzeeka mapema

8•Kuziba kwa mirija ya uzazi

9•Saratani

10•Uvimbe kwenye uzazi wa mwanamke (Fibroids and Cysts)

Post a Comment

0 Comments