KARIBU NG'S_CLINIC

JE UNAJUA MAAMBUKIZI HUADHIRI NAFASI YAKO KUSHIKA UJAUZITO..?


 *JIBU NI NDIO*

⭕Moja ya maambukizi ya kawaida ambayo hushambulia binadamu ni maambukizi yasababishwayo na bakteria na ambayo hutishia zaidi ni maambukizi ya zinaa,

👉🏾Na sio maambukizi yote ya zinaa husababishwa na bacteria, mengine husababishwa na virusi kama HIV,

⭕Kwa  maambukizi ya bacteria sio yote yataonyesha dalili za maambukizi yalioko, mengine hayaonyeshi dalili zozote hadi ufanye uchunguzi wa vipimo na kitabibu
👉🏾Matokeo yake maambukizi haya ambayo hayakuonyesha dalili zozote, huachwa bila matibabu na huanza kuathiri mirija, mayai hata mfuko wa kizazi,

⭕Uharibifu mkubwa zaidi hutokea kama
👉🏾 *SALPINGITIS* kuharibika kwa mirija kutokana na maambukizi hayo ya bacteria ya mda mrefu bila tiba
👉🏾 *HYDROSALPINX* mirija kuja maji
👉🏾 Pia vivimbe mf ENDOMETRIOSIS nje na ndani ya mfuko wa uzazu
👉🏾Maambukizi mengineyo ambayo hujitemgeneza ni kama *PID*, *HPV* (Masundosundo) n. K

👉🏾Kupata operesheni sio suluhisho pekee, wengi waliopiga operesheni mf kuondoa uvimbe bado wanahangaika kupata ujauzito,

👉🏾 *Tumia tibalishe zetu ambazo zitaondoa tatizo bila uhitaji wa operesheni sambamba na kuongeza nafasi yako ya kushika ujauzito tena(ILA HAKIKISHA UMEWAHI KUANZA TIBA ZETU USISUBIRI TATIZO LIKAWA KUBWA)*

⚠️ *KUA MAKINI NA MTU UNAECHAGUA KUSHIRIKI NAE MAPENZI, KWANI AMBUKIZI MOJA LINAWEZA KUKUATHIRI MAISHA YAKO YOTE*

Post a Comment

0 Comments