KARIBU NG'S_CLINIC

NINI HUADHIRI MIRIJA YA UZAZI(FALLOPIAN TUBES)


 *Nini Huathiri Mirija ya  UZAZI (Fallopian tubes)*



*Mirija ya uzazi* :-
Ni mirija miwili inayo safirisha mayai kutoka kwenye Mfuko wa mayai(Ovaries) kuja Kwenye Mfuko wa uzazi (Uterus).

Hii Mirija kwa lugha nyepesi ndio daraja ili uweze kubeba ujauzito Ni lazima hi Mirija iwepo na iwe na afya njema,

Endapo hiyo mirija ikiwa na hitrafu huwezi kubeba ujauzito hata ukienda hospital gan"

*Ni vitu gan huweza kuleta udhaifu au hitrafu Kwenye Mirija ya uzazi👇👇*

1_ Ugonjwa wa *PID* (Gonorrhea na chlamydia)

Hayo Maambukizi huweza kusafiri kutoka kwenye uke Mfuko was UZAZI mpka Kwenye Mirija ya uzazi na kusababisha ugumba,

Maana huweza kujeruh kuta za Mirija ya uzazi na  kutengeneza majeraha ambayo yai likitoka  juu haliwezi kushuka chin na baadala yake mama huyo hatoweza kushika ujauzito,

Au huweza KUHARIBU kuta za Mirija ya uzazi na Kufanya uchafu uzibe Kwenye hapo yai litakwama na mwanamke huyo hatoweza kushika ujauzito kabi

*Namana gan Mirija ya uzazi inaweza Kusababisha Ugumba* ,

🔹 Ikiwa na majeraha mayai hayatoweza kupita kushuka Kwenye kizazi Bali yatakwama,

🔹 Ikiziba,
Kukusu kuziba hapa Mara nyingi Ni uchafu wa Maambukizi ya magonjwa ya Kwenye via vya uzazi Kama PID,

*Mwanamke Alie na tatizo la Mirija ya uzazi kuziba au Kujeruhiwa anawezaje kubeba ujauzito*👇👇

*🔹Kwanza* mwanamke huyu ili aweze kubeba ujauzito Ni lazima utumie Tiba zitakazo enda kuzibua na Kuondoa uchafu ulio ziba, au  Aennde  hospital akafanyiwe  upasuaji ili wazibue kwa kitaalam hii procedure inaitwa  ( *laparoscopy surgery)*

*Pili* Kama mama huyu  Mirija Ina makovu Basi itatakiwa Atumie Tiba Ambazo zitaenda kuzifanya  kuta za Mirija ya uzazi kuanza kujitengeneza na kurudi Kwenye Hali ya yai kuweza kumove kushuka Kwenye uterus,

Hapa ukienda hospital utafanyiwa kitu kinacho itwa In *vitro fertilization(IVF)*
Japo kea hospital zetu Ni changamoto kidgo.

*Madhara makubwa ya kuziba kwa Mirija ya uzazi*
💠 Ugumba
💠 Mimba kutungwa nje ya mvuko wa UZAZI (Ectopic pregnancy)

*Ushauri wangu*
Mwanamke yeyote unapo kutakana na Hali ya sito faham juu ya via vyako vya uzazi Usikae kimyaa tafta Suluhisho na sio Kukaa kimyaa.

Lengo kuu Ni kuweza kuepusha sintofahamu na kujenga maswali mengi juu ya shida yako,


Mda flani mtu anachukua jukumu la iman za kishilikina kumbe Siku za nyuma alishawahi kuugua PID na alichelewa kuitibu,

Ikafikia KUHARIBU Mirija ya uzazi na Sasa hivi anaolewa hashiki Mimba anaanza kusema wananionea wivu hawataki nipate mtoto,

Kumbe mchawi wa kwanza Ni wewe Mwenyewe,

Ni mhimu mnoo kujali afya zetu kuliko tunavyo jali, kupendeza kwa mwonekano wa umbo la nje TU,

Kuhusu Tiba  wasiliana nasi kwa;
+255758077020
         Au
+255622198368

Post a Comment

0 Comments