KARIBU NG'S_CLINIC

*MADHARA YA MATUMIZI HOLELA YA ANTIBIOTICS KWA MWANAMKE*

 

Qq  

*MADHARA YA  MATUMIZI HOLELA YA ANTIBIOTICS  KWA MWANAMKE*

📌Matumizi holela ya madawa hasa ya antibiotic kama wengi walivyozoea kujinywea sio mazuri kwa afya yako hasa *Afya ya uzazi*

📌Antibiotic zinaua bakteria wabaya na vilevile zinaua bakteria wazuri na walinzi katika uke wako,

📌Yaani inaamaniisha unapomaliza kutumia antibiotic yoyote, unakua katika hatari ya kupata maambukizi kuliko hata kabla hujaanza dozi,*kitaalamu inachukua hadi miezi sita kurudisha jamii ya bakteria wazuri katika mwili mf katika matumbo, uke n. K baada ya matumizi ya dozi moja ya antibiotic, wengine hupata hata tatizo la choo kigumu wakiwa katika dozi hizi, ni kwa ajili mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na bakteria wake unaathiriwa na madawa haya🤔🤔* je kama umekua ukitumia kwa miezi hadi miaka mfululizo uko kwenye hali gani??🤔🤔

📌 *Inachukua jitihada za ziada na umakini wa kujikinga, kula mbogamboga na matunda kwa wingi, kunywa mtindi kwa wingi na chai za mchaichai na tangawizi ukiwa ndani ya dozi na baada ya kumaliza ili kuridisha kabila ya bakteria walinzi katika uke wako usipate maambukizi tena kirahisi*

📌 Na ndo maana tunashauri kama umekua katika maambukizi sugu kwa mda mrefu miezi kadhaa hadi mwaka na zaidi na umekua katika matumizi ya madawa mda wote huo *HIO NI HATARI KWA AFYA YAKO YA UZAZI*, geukia tiba mbadala yaani tibalishe kupitia package yetu ya Afya ya uzazi itaondoa maambukizi bila madhara huku ikiimarisha kinga yako ya mwili ikiwemo ya uzazi kuongeza nafasi yako ya kushika ujauzito bila kuhangaika.

Post a Comment

0 Comments