KARIBU NG'S_CLINIC

πŸ’“πŸŽ *MADHARA YA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI NI MAKUBWA SANA* πŸŽπŸ’“


 

πŸ’“πŸŽ *MADHARA YA KUTOKWA NA UCHAFU UKENI NI MAKUBWA SANA* πŸŽπŸ’“

Kutokwa na uchafu ukeni hasa wa rangi
🎊YA NJANO
🎊MAZIWA
🎊KAHAWIA
🎊KIJIVU
🎊KIJANI
🎊PINK NA DAMU

Madhara ya kutokwa na uchafu huo kama ifuatavyo:

❄️. Ugumba:
Hali hii hutokea pale mashambulizi au maambukizi yanapofika kwenye mirija na kuleta uvimbe ambao huziba au kusababisha kutengenezwa kwa maji machafu mazito ambayo nayo huziba mirija na kuharibu mimba kila inapotungwa.
Mwanamke hufikia hali ya kutoa harufu mbaya wakati wote hata kama ameoga na kuvaa vizuri.

❄️. Kushiriki Tendo La Ndoa
Hali huwa mbaya zaidi wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Jambo hili husababisha mwanamke kuwa na aibu na kujitenga, kutengwa, kujiona hana thamani na unyonge.

❄️. Kupata maambukizi katika njia ya mkojo yaani U.T.I.:
Hali hii ni kwa sababu njia ya uzazi na ile ya mkojo zimekaribiana sana sehemu zinapoanzia kwenye via vya uzazi vya mwanamke. Hivyo, mwanamke kuhisi maumivu wakati wa kutoa haja ndogo au kwenda haja ndogo mara kwa mara, na kutoa haja ndogo yenye rangi ya njano au kijivu ni baadhi ya dalili za ugonjwa wa U.T.I
Je, utokwaji wa uchafu katika via vya uzazi vya mwanamke ni kiashiria cha matatizo au magonjwa gani?
Utokwaji wa uchafu katika via vya uzazi vya mwanamke ni kiashiria cha magonjwa yafuatayo:
Kuvimba kwa mirija ya uzazi (salpingitis). Tatizo hili likichelewa kutibiwa, basi mirija huziba na hivyo mwanamke hupoteza uwezo wa kushika ujauzito.
Mrundikano wa vivimbe vidogo vingi kwenye vifuko vya mayai ya uzazi (polycystic ovarian syndrome). Asilimia 75 ya wenye tatizo hili hupoteza uwezo wao wa kushika ujauzito.

❄️Kuwa na uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi upande mmoja au pande zote mbili, kushoto na kulia (ovarian cyst).

❄️ Kama utokwaji wa uchafu utaambatana na matatizo ya kukosa hedhi au hedhi kupishanapishana ni kiashiria tosha cha tatizo hili.
Kujaa maji kwa mirija ya uzazi (hydrosalpinx). Tatizo hili pia husababisha mirija kuziba lisipotibiwa mapema.
Kushambuliwa na fangasi aina ya candida ALBICANS kwenye njia ya uzazi (vaginal candidiasis).
Kuvimba kwa kuta za uke, tatizo linaloitwa vaginitis.

πŸ‡πŸ₯‘πŸ‡πŸ₯‘πŸ‡πŸ₯‘πŸ‡

*YAWEZEKANA WEWE NI MUHANGA WA HILI NAPENDA NIKUKARIBISHE KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU*

Kwa mawasiliano zaidi
+255758077020
         Au
+255622198368

Post a Comment

0 Comments