KARIBU NG'S_CLINIC

🏵️🏵️ SIPATI UJAUZITO NA MZUNGUKO WANGU WA HEDHI UKO SAWA, TATIZO NI NINI !!? 🏵️🏵️


 🏵️🏵️  SIPATI UJAUZITO NA MZUNGUKO WANGU WA HEDHI UKO SAWA, TATIZO NI NINI !!?  🏵️🏵️


🥌 Hili Ni Swali Letu la Wiki Katika Mwendelezo Wa Kujibu Maswali Hasa ya Upande wa Uzazi Kwa Wanawake.

⭕ Ni kweli kua Wanawake Wengi Wanapitia Changamoto Hii Ya Kutopata Ujauzito Ili hali Mizunguko yao ya Hedhi Iko Sawa,
🍎Kimsingi Kuna Sababu Mbalimbali Zinazoweza Kupelekea Mwanamke Kutobeba Ujauzito na Kua Mgumba na Sababu Hizo Ni kama ifuatavyo:-

➡️- Kuziba kwa mijrija ya kupitisha mayai
➡️- Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi au kutoa mayai isiokuwa na nguvu (lazy egg).

🅾️ Mirija ya kupitisha mayai inaweza kuziba kutokana na;
➡️- Ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) ambao unatokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa kama kisonono na klamidia.
➡️- Mirija ya mayai kujaa maji
➡️- Utoaji mimba usio salama (unsafe abortions)
➡️- Upasuaji maeneo ya kiunoni
➡️- Ugonjwa wa endometriosis

🅾️ Ovari kushindwa kutoa mayai ya uzazi inaweza kutokana na;
➡️- Umri mkubwa wa mwanamke, hasa miaka 35 – 40 na kuendelea.
➡️- Uvutaji wa sigara
- Saratani ya Ovari
➡️- Mionzi (radiations)
➡️- Ugonjwa wa Polycystic ovarian disease (Ovarian Cyst)
Sababu nyingine za ugumba kwa mwanamke zinaweza kuwa;
➡️- Makovu katika mji wa uzazi kutokana na kutoa mimba.
➡️- Mabonge ya kizazi (uterine fibroids)
➡️- Kuziba kwa shingo ya uzazi
- Kulegea shingo ya uzazi
- Kisukari

🎯 USHAURI WANGU KWAKO

🔘 Kama Wewe Unapatia Changamoto Hii Ni Vema Sana Kufanya Vipimo Ili Kua na Majibu Ya Hakika na Ndipo Utajua namna ya Kujitibia

🌹Inawezekana Ukawa Una changamoto yoyote Ya Uzazi au Ya Kiafya Kwa Ujumla,
🩸 Dawa Zetu ni Tiba Lishe na
🩸 Dawa Asil Zenye Uwezo wa Kutibu,kukinga na kusafisha Mwili.

Kwa mawasiliano zaidi;
+255758077020
        Au
+255622198368

Post a Comment

0 Comments