KARIBU NG'S_CLINIC

SABABU YA U.T.I KUTOPONA

 

   
*Ijue Sababu  Ya U.T.I Kuto Kupona...*

Huenda hujui nini maana ya UTI.

UTI Hiki ni kifupisho Cha maneno haya *urinary Tract infections*

Hii ni hali inayosambulia mfumo wa mkojo ikiwepo urethra, kibofu, ureter  na figo

UTI imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni-:

●UTI  ya upande wa juu wa mfumo wa mkojo ambao Ni  figo na ureter

●UTI ya chini ya mfumo  wa mkojo ambayo ni kibofu na urethra

Fangus hutokea pale kiumbe  jamii ya fungi kushambulia sehemu ya mwili na kuleta shida hasa kuwashwa sana

*Visababishi vya UTI*

1️⃣ Bacteria Eschericheria coli ambaye anaishi kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Huyu bacteria huingia sehemu ya haja ndogo kutokana na style za namna ya kujisafisha kwa mwanamke.

Yaani kutoka sehemu ya haja kubwa kuelekea sehemu ya haja ndogo.

2️⃣ Matumizi Ya Vitu vyenye chemikali kwenye uke 

Hii hutokea pale ambapo mwanamke hujisafisha kwa kutumia sabuni za kemikali

3️⃣ Matumizi ya vyoo vya kukaa hata vya kuchuchumaa ikiwa havijasafishwa vyema.

4️⃣ Kushiriki tendo na mtu mwenye UTI

5️⃣ Kisukari

6️⃣ Kushuka kwa kinga ya mwili

7️⃣ Kukojoa bila kumaliza mkojo kwenye kibofu

8️⃣ Kuto kunywa maji ya kutosha .

*Dalili za UTI*

●maumivu kwenye kibofu na pelvis

●maumivu chini ya kitovu

●kutoa mkojo wenye damu au wenye Harufu mbayaa

●kukojoa Mara kwa Mara

●maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa kufanya tendo la ndoa

●Miwasho ukeni

●Kupata homa

*Sababu Za UTI kuwa Sugu*

UTI kuwa sugu hupelekewa na mabadiliko ya pH ya uke

pH ya uke ikibadilika kuwa juu au chini kuliko kawaida basi nirahisi uke kutunza bacteria  wabaya

Itatokea hata ungetumia vipi antibiotics, huwezi kumaliza U.T.I sugu

Kitu pekee cha kumaliza U.T.I ni kitu kinachoweza kurekebisha pH ya uke

Na hivi vitu unatakiwa kuwa makini navyo sana , uangalizi na kuongozwa matumizi vizuri.

*Jinsi ya kujikinga* "

●kuwa msafi  na safisha uke wako kutoka mbele kurudi nyuma,

●Kula  vyakula venye vitamin C kwa wingi mfano matunda aina ya machungwa, ndizi,

●hakikisha unakojoa mkojo wote unaisha

Japo kumekuwa na matibabu hayo ya dawa kadha wa kadhaaa kuhusu UTI Lakini bado wagonjwa wamekuwa wakilalamika kuhusu kuto pona kabisa wengine mpaka inafikia kuwa SUGU...hivyo tume kuja na suluhisho la tatizo la UTI SUGU ambayo ni tiba lishe asilia zisizo kuwa na kemikali yoyote ambazo zina saidia kumaliza kabisa  tatizo la UTI  SUGU  kwa  asilimia 100%..wasiliana nasi tukuhudumie.

👉 *ONYO* Epuka matumizi ya dawa bila  ya dactari:

Kwa mawasiliano zaidi tuma ujumbe WhatsApp/ au tupigie kwa simu namba

+255768077020
      Au
+255622198368

*UKIWA NA CHANGAMOTO YA KIAFYA YA MAGONJWA YA KISUKARI,PRESSURE,UZITO NA UNENE,UTI SUGU,UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME,VIDONDA VYA TUMBO,MATATIZO YA HEDHI,MAUMIVU YA VIUNGO VYA MWILI MATATIZO YA MACHO N.K WASILIANA NASI  KWA USHAURI ZAIDI*

Post a Comment

0 Comments