UTANGULIZI – LIJUE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. atizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

Hili tatizo huwanyima watu raha kwa kuwa na mawazo, kuwa na matatizo katika mahusiano, watu wengi wenye tatizo hili wanahitaji kutumia dawa zisizo na madhara na kubadilisha mitindo ya maisha yao ili kuweza kurudisha hali zao na kuondoa tatizo, cha msingi ni kuzingatia yale utakayoelekezwa.

Kuna matatizo ya kutofanya mapenzi kikamilifu, nayo ni; kuwahi kumwanga mbegu za uzazi, Kuto kumwaga, kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa
CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

• Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

• Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

• Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

• Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

• Kisukari

• Kuwa na mawazo na wasiwasi

• Matumizi ya madawa mbalimbali

• Umri hasa wazee

• Utumiaji wa vinywaji vinavyobadili hali ya mwili

• Kuwa na tatizo la kibofu

• Tabia za kujichua kwa mda mrefu

• Kutopata usingizi kamili

• Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama;
• Kuwahi kufika kileleni

• Kukosa hamu ya mapenzi

• Kushindwa kurudia tendo la ndoa

• Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

• Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

• Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

• Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

• Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

• Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

• Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

• Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine

• Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

• Balansi usito wako

• Usivute sigara

• Punguza au acha kunywa pombe

• Punguza mawazo

• Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

• Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

• Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi

• Kunywa maji ya kutosha

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi, kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao. Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa japo ni kwa mda mrefu kidogo, wengi hudanganywa na kupewa dawa za kuongeza nguvu pale unapoenda kujamiiana na sio dawa ya kutibu.

Tuna dawa ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda  kulingana na ukubwa wa tatizo, ukianza kutumia baada ya wiki mbili huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa utumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendekea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa.

Tunamshukru Mungu kwa uumbaji wake na kutupa dawa ambazo alizileta ili kutuimarisha na kutuponya, Mungu hakuumba dawa nyingine zaidi ya mimea na vitu vingine vya asili, japo wengi hudharau. Mungu tunaomba utuokoe na kutuponya.

Kwa mawasiliano zaidi                                              what'sapp/piga                                                          +255758077020                                                                  Au                                                                         +255622198363

Karibu sana...✍🏽