*🌹Tofauti Kati Ya OVARIAN CYST Na FIBROIDS....* ✍️Ovarian cyst ni uvimbe maji ambao mara nyingi hutokea katika mifuko ya mayai (ovary)
Ovarian cyst ni hatari zaidi kwani kuna wakati unaweza kupasuka na kuleta maambukizi kwenye kizazi.
Mbali na kuleta maambukizi unauwezo wa kuleta saratani katika kizazi.
Pia unaweza kutunza usaha ambapo utapata maumivu makali zaidi
✍️Fibroids ni uvimbe nyama ambao unaweza kutokea ndani ya kizazi , katikati ya nyama za kizazi au nje ya kizazi
Hapa ndipo tunapata aina nyingi za majina ya uvimbe kwenye kizazi
*📌Sababu Za Vimbe hizi*
Asilimia kubwa vimbe hizi husababishwa na 👇
.
●Hormonal imbalance
●Saratani
●Mabadiliko ya mwili ya ghafla kibaiolojia
*N.B*
Aina za vimbe hizi maumivu zinatofautiana kulingana sehemu ulipotokea na ndani ni kitu gani.
𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐍𝐈𝐊𝐔𝐒𝐈𝐃𝐈𝐄 𝐏𝐈𝐆𝐀 & 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄.
Call 📞 📲
+255758077020
Au
+255622198368
Dr Daniel.....✍🏽
0 Comments