KARIBU NG'S_CLINIC

DALILI NA MATHARA YA PRESHA YA KUPANDA (HYPERTENSION)

 

🌹1. PRESHA YA KUPANDA ( HYPERTENSION)*

🍇hii ni ile Hali ya kuwepo na ukinzani wa damu kupita vizuri kwenye mishipa ya damu yaani moyo unasukuma damu na wakati mishipa ya damu hairuhusu damu kupita ipasavyo.

*KIPIMO CHA PRESSURE*
🍑ya kawaida 119/79
🍑ikizidi 140/90
🍑ikiwa ni Hali mbaya na ya hatari zaidi ni 180/120

*ZINGATIA*
🍑Kwa hiyo mtu wa kawaida akipimwa presha inatakiwa iwe 119/79 au izidi kidogo.

🍑ikiwa 140/99 ana presha ya kupanda

🍑 ikiwa 180/120 na kuendelea huyo mtu ana hatari ya kupata kiharusi.

🫐 *DALILI ZA PRESHA KUPANDA*
1.kifua kuuma upande wa kushoto, maumivu yanakwenda mpaka kwenye  kidevu.

2.mtu kuchoka hata akifanya kazi kidogo aubkupandisha ngazi.

3. miguu kuvimba

4.wakati mwingine kichwa kuuma.

🍇 *KUMBUKA*
Presha inayopanda maana damu yake inapita Kwa shida kwenye mishipa ya moyo.  Hivyo moyo unapata  taaabu na sehemu zingine za mwili hazipati damu vizuri.


*🫐MAMBO YANAYOPELEKEA PRESHA YA KUPANDA*

🍒1. uzito mkubwa
🍒2.kutofanya mazoezi
🍒3.kula vyakula vya wanga Sana
🍒4.kula mafuta ya viwandani
🍒5.historia ya familia ( kama ukoo wako una presha ni rahisi na wewe kupata presha)
🍒6.uvutaji wa sigara

*🫐MADHARA YA PRESHA YA KUPANDA*
🍒1. hupelekea moyo kutanuka ( moyo mpana)
🍒2.kiharusi/ stroke
🍒3.shambulio la moyo( heart attack)
🍒4.figo Kushindwa kufanya kazi.
🍒5.Ganzi
🍒6.miguu kuwaka moto na kuvimba
🍒7.upungufu wa nguvu za kiume.
🍒8.upofu.( kutokuona)
🍒9.kupoteza kumbukumbu.

*🫐MATIBABU YA PRESHA YA KUPANDA*
Namna ya kutatua tatizo la presha ya kupanda Kwa kutumia bidhaa zetu   za BF SUMA. Bidhaa utakazo tumia ni hizi zifuatazo:-

🍏1.Relivin tea🍵
🍏2.micro 2 cycle
🍏3.zaminocal plus

*MATUMIZI YA DAWA*
🍑1.Relivin tea   box moja Kwa siku 20

🍑2.micro 2 cycle kopo 3 Kwa mwezi., Unatumia 3 mara 3 Kwa siku baada ya chakula ( tumia ndani ya miezi 3)

Post a Comment

0 Comments