KARIBU NG'S_CLINIC

ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI


 ZIJUE KIUNDANI DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI


1. Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi, vipele nk.
2. Kuwa na uzito wa kupindukia
3. Kutopata choo au kupata choo kigumu
4. Kukosa usingizi Na kujihisi mchovu kupitiliza
5. Kichwa kuuma kila mara
6. Kupata miwasho
7. Maumivu ya viungo Kama vile mgongo,goti, nyonga
8. Kuwa na hasira mara kwa mara.
9. Tumbo kujaa gesi nk

MADHARA YA MWILI KUJAA SUMU
1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2. Kupata maambukizi ya figo
3. Kupata maambukizi ya Ini
4. Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)
5. Husababisha uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke.
6. Hupelekea matatizo shinikizo la damu la juu (high blood pressure)
7. Mvurugiko wa homoni na kupelekea hedhi kuvurugika, maumivu ya hedhi na kukosa hedhi ikiwa si mjamzito.
8. Husababisha vimbe mbalimbali mwilini.

Kuhusu Tiba  wasiliana nasi kwa;
+255758077020
         Au
+255622198368

*UKIWA NA CHANGAMOTO YA KIAFYA YA MAGONJWA YA KISUKARI,PRESSURE,UZITO NA UNENE,UTI SUGU,UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME,VIDONDA VYA TUMBO,MATATIZO YA HEDHI,MAUMIVU YA VIUNGO VYA MWILI MATATIZO YA MACHO N.K WASILIANA NASI  KWA USHAURI ZAIDI*.

Post a Comment

0 Comments